Katika utafiti uliofanyika hapa nchini umeonyesha kuwa asilimia 60% ya watoto wa Kitanzania wana upungufu wa damu. Upungufu wa damu katika mwili wa binaadamu unatokana na sababu mbalimbali zikiwemo zile za upungufu wa madini chumvi yanayojenga mifupa kwa ajili ya kutengeneza damu katika mwili.
Pemba raha sana asee....
ReplyDelete